Windows

Victoria Conteh: Kocha mwanamke anayeweka historia Sierra Leone kwa kufunza katika ligi kuu

Victoria Conteh ameteuliwa kuwa mkufunzi wa kwanza mwanamke kuifunza klabu ya wanaume katika ligi ya Sierra Leone kwa sababu amefuzu kufanya hivyo, kulingana na mmiliki wa klabu hiyo.

Post a Comment

0 Comments