Windows

Happy BirthDay David Molinga




Mshambuliaji David Molinga 'Falcao' leo anaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake

Molinga aliyeifungia Yanga mabao manne kwenye ligi, ndiye mshambuliaji tegemeo kwa sasa baada ya mikataba ya Sadney Urikhob na Juma Balinya kuvunjwa

Alianza msimu kwa kusuasua lakini kiwango chake kimeendelea kuimarika siku hadi siku

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

HAPPY BIRTHDAY DAVID MOLINGA...!



Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI  kutoka Play Store.

Post a Comment

0 Comments