er United wanapanga mikakati ya uhamisho msimu ujao ili kuweza kusaini mkataba na mshambuliaji wa Crystal Palace Wilfried Zaha, mwenye umri wa miaka 26, kwa mara ya pili na wako tayari kulipa pauni milioni 70 kwa ajili ya kijana huyo raia wa Ivory Coast , ambaye alikuwa nao baina ya mwaka 2013 na 2015. (Sun)
0 Comments