


Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Pyramids FC ya Misri katika mechi ya kusaka kufuzu kwa hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho usiku wa kuamkia leo..
Yanga itaanza mechi yake ya kwanza nyumbani Oktoba 27, 2019 kabla ya kurudiana Misri itakuwa Novemba 3, 2019 mshindi wa mchezo huo anafuzu moja kwa moja kwa hatua ya makundi.

Pyramids FC inafundishwa na kocha wa zamani wa Uganda, Mfaransa Sebastien Desabre ilifuzu kwa hatua hiyo baada ya kuiing’oa Belouizdad katika raundi ya kwanza kwa ushindi wa jumla ya mabao 2-1.
Ratiba kamili
Horoya (Guinea) vs Bandari (Kenya)
Young Africans (Tanzania) vs Pyramids (Egypt)
Enyimba (Nigeria) vs TS Galaxy (South Africa)
Zamalek (Egypt)/Generation Foot (Senegal) vs ESAE (Benin)
Asante Kotoko vs San Pedro (Cote d’Ivoire)
KCCA (Uganda) vs Paradou (Algeria)
Gor Mahia (Kenya) vs DC Motema Pembe (DR Congo)
UD Songo (Mozambique) vs Bidvest Wits (South Africa)
Elect Sport (Chad) vs Djoliba (Mali)
Green Eagles (Zambia) vs HUSA (Morocco)
Cano Sports (Equatorial Guinea) vs Zanaco (Zambia)
Fosa Juniors (Madagascar) vs RS Berkane (Morocco)
Cote d’Or (Seychelles) vs Al Masry (Egypt)
ASC Kara (Togo) vs Rangers (Nigeria)
FC Nouadhibou (Mauritania) vs Triangle United (Zimbabwe)
El Nasr (Libya) vs Proline (Uganda)
The post Wakimataifa Yanga Wapangiwa Waarabu, Kukupiga Oktoba 27 appeared first on Global Publishers.



0 Comments