

Mapokezi ya kikosi cha Taifa Stars leo Oktoba 10, 2019 Uwanaja wa Kimataifa wa Julius Kambarage, Nyerere.
Mapokezi haya yamefanyika kutokana na kufuzu kushiriki michauano ya CHAN huko Cameroon baada ya kuiondoa Sudan kwa kuifunga mabao 2-1.
The post Video: Mapokezi ya Taifa Stars Uwanja Wa Ndege Dar, Ikitoka Sudani appeared first on Global Publishers.



0 Comments