Windows

Mbwana Samatta Afunga Ndoa jijini Dar

Straika wa Genk na Taifa Stars, Mbwana Samatta.

Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amefunga ndoa usiku wa kuamkia leo Alhamisi Agosti 10, 2019 jijjni Dar es Salaam na mchumba wake Naima Omary ambaye pia ni mama wa watoto wake wawili.

Mbali na mastaa hao ambao wamekipiga na Samatta, lakini wakazi wa mtaa wa Kichangani huko Mtoni Kijichi wamejawa na furaha baada nahodha huyo wa Stars kuoa mtaani kwao.

 

Wakazi wengi wamefurahi nyumbani kwa Mzee Mgange wakitaka kumuona Samatta laivu hasa baada ya hivi karibuni kuweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kukipiga Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Napoli.

 

The post Mbwana Samatta Afunga Ndoa jijini Dar appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments