


HUKU timu yake ya zamani ya Yanga ikipewa Waarabu kutoka Misri timu ya Pyramids FC, Heriter Makambo na timu yake ya Horoya AC wamepangiwa kucheza dhidi ya timu ya Bandari kutoka Kenya.
Makambo anayeitumikia Horoya AC ya Guinea, walitolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika na kutupwa katika mechi za mtoano za Kombe la Shirikisho Afrika sawa na Yanga.
Horoya AC waliondolewa na JS Kabylie ya Algeria huku Yanga ikitolewa na Zesco United kutoka Zambia.
KMC Yapigwa FAINI, ZAWADI MAUYA Apewa ONYO Kali, Mtendaji VPL Azungumza!
The post Makambo Apelekwa Kenya appeared first on Global Publishers.



0 Comments