Windows

VIDEO: Wafanyakazi wailalamikia kampuni ya ujenzi mbele ya Naibu Waziri


Wafanyakazi na Vibarua wanaofanya kazi katika kampuni inayojenga barabara ya Moronga- Makete mkoani Njombe wamelalama mbele ya naibu waziri wa ujenzi Elias kwandikwa wakiiomba serikali kuingilia kati ili kuwekewa mazingira salama ya kazi pamoja na kupandishiwa mishahara
wanayolipwa kutokana na kutoridhishwa na kiwango wanacholipwa kwa sasa ikilinganishwa na kazi wanazofanya,huku wengine wakiomba usafiri wa kuwafikisha mahala pa kazi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI USIKOSE KU-SUBSCRIBE...


Post a Comment

0 Comments