Tottenham hawana uhakika na nia ya Christian Eriksen kutokana na kuvunjia kwa mahusiano kati ya Mwenyekiti wao Daniel Levy na wakala wa kiungo huyo mwenye miaka 27 raia wa Denmark.