MLENGWA:
Wote waliomaliza kidato Cha 4 au 6 waliosoma masomo ya sayansi ambao WANATAKA KUSOMEA UTABIBU CLINICAL MEDICINE CERTIFICATE & DIPLOMA.
SIFA :
Ufaulu wa masomo matatu ya sayansi: Physics,Chemistry & Biology.
Pia kama kafaulu English & Maths ni sifa ya nyongeza LAKINI sio ya lazima.
Kama huna sifa hizo unaombwa usiombe kabisa yaani hatupokei .
CHUO :
St.DAVID COLLEGE OF HEALTH & ALLIED SCIENCES.
Chuo chenye dhamana ya Serikali chini ya wizara ya afya kutoa mafunzo ya UTABIBU.
REG/HAS/170 Tupo Kimara TEmboni Moa
Mafunzo ni kutwa na bweni. Chakula kinapatikana kwa wote wenye kuhitaji.
KUJIUNGA:
Fika chuo moja kwa moja ukiwa na matokeo yko ukiwa umenipa taarifa kupitia 0785782649 / 0654354949 / 0716044610 / 0652454847
KURIPOTI:
Kabla ya TAREHE 15/08/2019.
0 Comments