Windows

HIZI HAPA NNE KUSHUKA UWANJANI LEO TPL


LEO Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na Vodacom inaendelea ambapo mechi mbili zitachezwa kwa timu nne kushuka uwanjani kama ifuatavyo:-

Mwadui v Singida United, uwanja wa Mwadui.

Lipuli v Mtibwa Sugar uwanja wa Samora.

Mechi zote zinapigwa saa 10:00 jioni.

Post a Comment

0 Comments