Mkuu wa wilaya ya Arusha Mjini Gabriel Daqaro amefanya ziara yake kwa kutembea barabara iliyodhaminiwa na kujengwa na Benki ya Dunia ambapo imetumia mabilioni ya Fedha huku akisema kuna watu watapita pita kwa ajili ya kupotosha watu lakini hakuna mtu anaweza kutoa pesa tofauti na Raisi Magufuli
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE
0 Comments