Windows

VIDEO: Waziri Mwakyembe na RC Makonda walivyowaongoza viongozi wengine kutinga msibani Azam


Viongozi mbali mbali wa serikali wakiongozwa na waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe wamewasili katika viwanja vya kituo cha runinga cha Azam kwa ajili ya kuaga miili ya wafanyakazi watano wa kituo hicho waliofariki katika ajali ya gari Jumatatu hii katikati ya Singida na Tabora.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments