Windows

VIDEO: Polepole awatolea uvivu CCM, "Usitumie chama kama mali ya Mama yako"


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema chama hicho hakiangalii sura na kuwaonya wale waliopewa dhamana na kutumia chama kama mali yao na kuwataka wanaccm kutopanga safu zao mana atashughulika nao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Post a Comment

0 Comments