Windows

VIDEO: Mchungaji atabiri vita mpya ya Diamond/ Kanyaga yaleta majanga/ Aonya ujauzito wa Tanasha


Mchungaji Commando Mashimo Jumamosi hii ameongea na waandishi wa habari kwa kufunguka maono aliyoyapata kuhusu msanii Diamond Platnumz. Mchungaji huyo amedai kuwa Diamond anawindwa na maadui wengi huku akiitaka familia yake na kuuombea na yeye mwenyewe kuuombea sana ujauzito ambao unadaiwa kubebwa na mpenzi wake Tanasha.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments