Windows

Mtoto apelekwa shule kwa njia ya maajabu


Kila asubuhi wazazi hawa wa Kivietinamu humfunga kwa uangalifu mtoto wao ndani ya mfuko wa plastiki ili wanapomvusha mto kwenda shule nguo zake zisilowane. Baada ya masomo kumalizika, baba huyu humfuata mwanae na kumvusha mto kwa njia ile ile.


Post a Comment

0 Comments