Majeneza ya ajabu ya zaidi ya miaka 400 ambayo yamehifadhiwa juu ya mwamba katika mkoa wa Sichuan nchini China, yamebakia kuwa imara licha ya tetemeko la ardhi lenye viwango vya richa 5.4 kupiga katika eneo hilo na kufanya uharibifu mkubwa.
Majeneza hayo ambayo yanahusishwa na urithi wa kihistoria na utamaduni, yalisimama imara na salama licha ya watu wanne kufariki, 128 kujeruhiwa na maelfu ya majengo kuharibiwa siku ya Jumamosi.
0 Comments