Windows

Diamond ‘Kawavuruga’ Mashabiki Shoo ya Geita – Video

Baada ya kuuwasha moto usiku wa kuamkia jana katika Uwanja wa Taifa wilayani Kahama, Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2019 amekiwasha kinomanoma baada ya kugonga bonmge jingine la shoo mjini Geita.

 

Balaa la Diamond halikuwa la kitoto kwani mashabiki walifunika uwanja mzima kushuhudia shoo ya Bingwa huyo wa burudani Afrika.

TAZAMA HAPA

The post Diamond ‘Kawavuruga’ Mashabiki Shoo ya Geita – Video appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments