Windows

Zahera hatihati kukosa michezo iliyobaki


Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera leo anahudhuria kikao cha Kamati ya Maadili na Nidhamu Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Mara kadhaa Zahera amesikika akiikosoa Bodi ya Ligi akilalamikia upendeleo katika upangaji wa ratiba na suala la waamuzi
Bodi hiyo imewasilisha malalamiko ya kinidhamu dhidi yake na makocha wengine watatu kwa Kamati hiyo
Kama atapatikana na hatia katika tuhuma zinazomkabili, Zahera huenda akafungiwa michezo mitatu pamoja na kulipa fainali
Mbali na Zahera, makocha wengine wanaopaswa kuhudhuria kikao hicho kujieleza ni Athuman Bilal wa Stand United, Nassoro Mrisho wa Geita Gold FC na Ramadhani Nsanzurwimo wa Mbeya City

Post a Comment

0 Comments