Windows

Zahera ataja wachezaji 2 anaowakubali nje ya yanga



Wakati ligi kuu soka Ya Tanzania bara ikielekea Kuisha huku Simba ikiongoza na Yanga kufuata katika msimamo kocha mkuu wa Yanga ametaja wachezaji wawili anaowakubali nje ya Yanga.
Zahera Mwinyi amewataja John Bocco AMBAYE ni mchezaji wa Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania na Straika Meddie KAGERE ambaye pia ni mchezaji wa Simba na Timu ya Taifa ya Rwanda.
Mpaka sasa Kagere ameshafunga jumla ya magoli 20 huku Bocco akiwa ametupia kambani mabao 14.

Post a Comment

0 Comments