Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema wako mbioni kukamilisha usajili wa wachezaji nane ambao kati yao wanne wanatoka nje ya nchi
Mcongomani huyo amesema kutokana na changamoto walizokumbana nazo msimu huu, maboresho hayo ni ya lazima
"Tuko na mipango ya kukasili wachezaji nane mwishoni mwa msimu. Tayari mikakati ya usajili huo imeshaanza na tunategemea kuikamilisha baada ya ligi kumaliza," Zahera aliiambia EFM
Yanga inatarajiwa kukamilisha michakato ya usajili mwezi huu kutokana na mwezi ujao kuwa na michuano ya AFCON 2019 ambapo Zahera ataondoka kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa ya DR Congo yeye akiwa kocha msaidizi
Michuano ya AFCON 2019 itaanza rasmi Juni 21 2019 nchini Misri, Tanzania ikifuzu kwa mara kwa mara a pili baada ya kusubiri miaka 39

0 Comments