Windows

Yanga SC wapatiwa Tsh. Milioni Moja



Naibu Spika Dkt Tulia Ackson amekabidhi fedha kiasi cha Tsh. Milioni moja kwa ajili ya kuichangia Timu ya Yanga. Mchango huo umepokelewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Anthony Mavunde, Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments