Windows

VIDEO: Mrithi wa Ajib asaini Yanga, Ni Ronaldo wa Afrika


Mchezaji Patrick "Papy" Sibomana raia wa Rwanda amedaiwa kusaini Yanga kwa mkataba wa miaka miwili. Sibomana alikuwa anaichezea timu ya Mukura Victory Sports ya Rwanda na atakuwa mchezaji wa kwanza kusaini yanga kati ya 11 ambao kocha Mwinyi Zahera ametangaza kupanga kuwasaini kwa ajili ya msimu ujao.

Post a Comment

0 Comments