Windows

Timu zilizoshuka daraja TPL 2018/2019



Baada ya mechi kumalizika zote ligi kuu soka Tanzania bara TPL Timu zilizoshuka ligi kuu ni African Lyon na Stand United.


Na Timu zitakazocheza playoff ni Kagera Sugar na Mwadui Fc ambazo zitacheza na Geita Gold Fc na Pamba Fc.

Post a Comment

0 Comments