Windows

Simba yaondoka Mbeya kuiwahi Coastal Union


Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons jana, kikosi cha Simba kimeondoka mkoani Mbeya kurejea jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo unaofuata dhidi ya Coastal Union
Simba itacheza na Coastal Union keshokutwa Jumatano May 08 katika uwanja wa Taifa
Simba inayoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na alama 78, ushindi utaihakikishia kuipiku Yanga kileleni inayoongoza ligi ikiwa na alama 80


Post a Comment

0 Comments