Windows

Pia hata hao wazawa wanaopelekwa kwa mkopo ni sahi...

Pia hata hao wazawa wanaopelekwa kwa mkopo ni sahihi kabisa ukiachana na Salamba ambae kapewa muda mwingi wa kucheza bila mafanikio,Mohammed Rashid ameshindwa kuonekana huko alipo kwa mkopo KMC na dogo Abdul mohammed suleiman kashindwa kujitambua kama mwenzie Rashid Juma.

Post a Comment

0 Comments