Windows

NDNDO CUP LEO KAMA KAWAIDA

LEO Ndondo Cup inaendelea ambapo timu 10 zitashuka uwanjani ikiwa ni hatua ya awali kama ifuatavyo:-

Frends Rangers v Mwenge Kombaini, uwanja wa Kinesi.

Goba Ham v Ukwamani, uwanja wa Mwalimu Nyerere.

Wauza Mataili v Chang'ombe  Youth uwanja wa Tandika.

Kitunda United v Kigogo Fresh, uwanja wa Airwing.

JMK Park v Twiga, uwanja wa Benjamin.


Post a Comment

0 Comments