![](https://4.bp.blogspot.com/-oWBF5rnYXzE/W7uedCj85EI/AAAAAAAAJdY/0jTfLk_9khU5DTaZ6o-KfH_A3hrpI_ZJQCLcBGAs/s320/aaaaaaaaaa.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-5UdUkBxLqPE/W7ujeNJL4XI/AAAAAAAAJds/dBugYDvLQq0WptS1YBXQGjJB_vJFBWL7wCLcBGAs/s320/yyyyyyyyyyyy.jpg)
Baada ya Msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Isabela Mpanda ‘Miss Bella’ kurusha matusi kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akimtuhum, hatimay msanii huyo amefunguka na kusema hawezi kujilinganisha naye kwani anamzidi mafanikio.
Mpanda amesema hutongozwa na wanaume ambao idadi yao inaweza kufikia 500 kwa siku, hivyo haoni ajabu kwake kama mwanamke, suala la kuhongwa ni kawaida lakini hategemei mali wala kitu chochote kutoka kwa mwanamme ili anedneshe maisha yake kama wanavyofanya baadhi ya mastaa wa kike badala yake anapambana kivyake kufikia malengo yake.
VIDEO: MSIKIE BELLA AKIFUNGUKA
The post MISS BELLA: Wanaume 500 kwa Siku | Lazima Nihongwe – Video appeared first on Global Publishers.

0 Comments