

Lipuli 0-0 Yanga
Uwanja : Samora
Kipindi cha kwanza
MCHEZO unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Samora, mkoani Iringa ni kati ya Lipuli na Yanga hatua ya nusu fainali kombe la Shirikisho.
Timu zote zimeanza kwa kasi kushambuliana ili kupata bao la mapema la kuongoza.
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona namna nusu fainali ya kibabe inavyopigwa kwa wababe hawa wawili.



0 Comments