Miezi tisa ya mikiki mikiki ya ligi kuu ya Uingereza inafika tamati leo kwa timu zote 20 kushuka viwanjani
Jambo kubwa linalotarajiwa ni kupatikana kwa bingwa wa ligi hiyo washindani wakiwa Liverpool na Manchester City
Ukiondoa mchezo kati ya Brighton dhidi ya Manchester City na Liverpool dhidi ya Wolves, michezo mingine itakuwa ya kukamilisha ratiba tu
Mpaka sasa Huddersfield, Fulham na Cardiff City zimejihakikishia kuteremka daraja wakati Chelsea na Tottenham Hotspurs zimejihakikishia nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa msimu ujao sambamba na Manchester City na Liverpool zinazowania ubingwa
Manchester City inahitaji yenye alama 95 inahitaji matokeo ya ushindi dhidi ya Brighton watwae ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo wakati Liverpool yenye alama 94 inaweza kutwaa ubingwa kama itashinda nyumbani dhidi ya timu nguvu ya Wolves na iwapo Manchester City itashindwa kupata ushindi ugenini dhidi ya Brighton
Michezo yote itapigwa saa 11 jioni

0 Comments