Windows

KOCHA ZAHERA Awahoji Waandishi, Awauliza Kuhusu SIMBA! -Video

KIKOSI cha Yanga Mei 14, 2019 kimeibuka na ushindi wa 1-0 lililofungwa na Tshishimbi katika kipindi cha kwanza na hivyo kuwafanya Yanga kuchukua pointi tatu na kuwa kileleni mwa msimamo mwa Ligi Kuu Tanzania Bara.

The post KOCHA ZAHERA Awahoji Waandishi, Awauliza Kuhusu SIMBA! -Video appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments