

Nyota wa Sevilla Munir El Haddad amemnyooshea mikono mshambuliaji wa Simba John Bocco kuwa ana uwezo wa hali ya juu unaomuwezesha kucheza ligi za Ulaya ikiwemo La Liga
Juzo Bocco aliibuka nyota wa mchezo kati ya Simba dhidi ya Sevilla, mchezo aliofunga mabao mawili na kutengeneza bao moja
"Yule mchazaji namba 22 ni hatari sana, anaweza kucheza popote," alisema Munir mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona
Mbali na Bocco wachezaji wengine waliowakosha Sevilla ni Haruna Niyonzima, Meddie Kagere na Clatous Chama
Mkufunzi wa Sevilla alieleza kushangazwa na kiwango kilichoonyeshwa na Simba akikiri walilazimika kufanya kazi ya ziada kuweza kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo



0 Comments