Windows

Habari mpya kutoka Simba mchana wa leo 6 May 2019

Kupitia ukurasa wa Twitter Simba wameandika Ujumbe huu mchana huu.
Baada ya kumaliza kazi iliyotuleta jijini Mbeya ya kutafuta alama sita za Ligi Kuu ambazo tumezipata, leo mchana kikosi kinarejea jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo ujao ambao tutacheza Jumatano dhidi ya Coastal Union
The post Habari mpya kutoka Simba mchana wa leo 6 May 2019 appeared first on KWATA UNIT SPORTS & ENTERTAINMENT.


Post a Comment

0 Comments