Windows

Gadiel Michael bado majeruhi


Beki wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael anaendea kuuguza jeraha la kifundo cha mguu alilopata katika mchezo dhidi ya Azam FC
Gadiel tayari amekosa michezo minne na huenda asionekane katika michezo miwili iliyobaki
"Nashukuru naendelea vizuri, nadhani nitaweza kurejea dimbani hivi karibuni," amesema
Gadiel aliitwa katika kikosi timu ya Taifa ya Tanzania ambayo itashiriki fainali za AFCON 2019, zinazotarajiwa kuanza Juni 21 nchini Misri

Post a Comment

0 Comments