Windows

BREAKING: Simba SC watwaa ubingwa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) 2018/19




Simba SC yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) 2018/19 baada ya kuifunga Singida United mabao 2-0 katika uwanja wa Namfua. Mabao hayo yaliyopachikwa na Meddie Kagere dakika ya 9 na John Bocco dakika ya 60 yametosha kuwapa ubingwa.

Simba imecheza jumla ya michezo 36 na imefikisha pointi 91 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye ligi msimu huu, ikiwa bado na michezo miwili kibindoni.

Post a Comment

0 Comments