Windows

VIDEO - MWIGULU: ZAHERA NITASAJILI, SIMBA WANATEGEMEA MALI ZA URITHI


Shabiki wa Yanga kindakindaki na Mbunge wa Ilamba, Singida,  Mwigulu Nchemba, amesema atasajili mchezaji mmoja kwa gharama zake na kinachotakiwa ni Kocha Mwinyi Zahera kusema anamuitaji mcheazaji wa gani

Mwingulu aliongeza Yyanga sio timu inayotegemea pesa za urithi


Post a Comment

0 Comments