MCHEZO wa Ligi Kuu Bara unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Uhuru ni kati ya Azam FC na Yanga.
Yanga wapo mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na Mrisho Ngassa dakika ya 13 akimalizia pasi ya Ibrahim Ajibu.
Azam FC wanajitahidi kufanya mashambulizi ili kusawazisha bao wanaziiwa na safu ya ulinzi inayoongozwa na Abdallah Shaibu 'Ninja'.
0 Comments