Windows

PRETTY KIND: “NILIKATIA TAMAA GARI YANGU KWA UCHAKAVU”

Msanii wa filamu na video vixen, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amefunguka kuwa alikuwa kashaikatika tamaa gari yake aina ya Toyota Passo ambayo amepata shavu ya kupigiwa rangi na Amrani Auto works.


Post a Comment

0 Comments