Windows

LIVE TPL : KMC 0:0 SIMBA



KMC 0-0 Simba
Uwanja: CCM Kirumba
Kipindi cha kwanza



MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya KMC na Simba unaendelea kwa sasa uwanja wa CCM Kirumba ambapo wenyeji ni KMC.

KMC wanakumbukumbu ya kupoteza mchezo wa kwanza uliochezwa uwanja wa Taifa kwa kufungwa mabao 2-1.

Mashabiki waliojitokeza leo ni wachache  siku ya leo ambayo ni katikati ya juma hali ambayo imefanya wengi kushindwa kujitokeza kuona namna amshaamsha zilivyo uwanja wa CCM Kirumba.



Post a Comment

0 Comments