Windows

HIZI HAPA KUMENYANA LEO LIGI YA UFUKWENI, MASHABIKI MNAOMBWA KUTIA TIMU KARUME, HAKUNA KIINGILIO



LEO Beach Soccer League 2019 inaendelea ambapo timu sita zitashuka Uwanja maalumu uliopo Karume kumenyana kama ifuatavyo:-

Buza FC itamenyana na Vingunguti Kwanza majira ya saa 8:30 asubuhi.

Tanzania Prisons dhidi ya Mburahati FC majira ya saa 09:30 asubuhi.

Friends of Mkwajuni dhidi ya Ilala FC majira ya 10:30 asubuhi.

Hakuna kiingilio, mashabiki wote mnaombwa kutia timu na mratibu wa mashindano ya Beach Soccer Kassan Jonathan.

Post a Comment

0 Comments