

Baada ya Simba kuwakalisha As Vita ya Congo na kufanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali Boss wa mabingwa hao wa soka nchini Tanzania Mohammed Dewji Mo amepost jumbe Tatu tofauti kupitia ukurasa wake wa Instagra.
Ujumbe wa Kwanza.
GOD IS GOOD!!!
Ujumbe wa Pili
Furaha ya leo anajua Mungu pekee 


Ujumbe wa Tatu
ALHAMDULILAH




0 Comments