Man United imepindua matokeo dhidi ya PSG ikiwa ugenini kwa kuiweza kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 usiku huu kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.
Katika mchezo wa awali uliopigwa Old Trafford, United ilifungwa mabao 2-1 na leo imeweza kulipiza kisasi kwa kugeuza ubao
Mabao hayo yamefungwa kupitia kwa Romelu Lukaku aliyeingia kambani mara mbili na Marcus Rashford.
Matokeo haya yanaiondoa moja kwa moka PSG kwenye mashindano haya
0 Comments