MCHEZO wa Ligi Kuu Ba
ra kati ya Alliance FC dhidi ya Yanga unaendelea kwa sasa Uwanja wa CCM Kirumba ikiwa ni mzunguko wa pili.
Kipindi cha kwanza mpaka sasa hakuna aliyeona lango la mpinzani wake huku Alliance wakitumia nguvu nyingi kwenye mchezo wa leo.
Heritier Makambo dakika ya sita alikosa penalti baada ya kudondoshwa na mchezaji wa Alliance eneo la hatari.
Yanga wamepiga kona mbili ambazo hazijazaa matunda huku Alliance wakiwa hawajapiga kona hata moja kwa sasa.

0 Comments