Windows

HAJI MANARA AKEMELEA TUKIO LA BEKI YANGA KUSHIKWA MAKALIONI NA MCHEZAJI ALLIANCE


Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amelikemea tukio linaloonekana katika video ambalo linamuonesha mchezaji wa Alliance akimuwekea kidole makalioni Gadiel Michael wa Yanga.



Post a Comment

0 Comments