Windows

DIAMOND ALIVYOWASILI KARIMJEE KUMUAGA RUGE – VIDEO


MSANII wa WCB, Diamond Platnumz leo Machi 2, 2019 amefika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kuungana na ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wengine kuuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba.


Post a Comment

0 Comments