Windows

VIDEO: MO DEWJI ASHINDWA KUZUNGUMZA TAIFA


Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji, amejikuta akishindwa kuongea kutokana na kuzidiwa na furaha baada ya klabu hiyo kuwachapa waarabu bao  (1- 0) katika mchezo wao uliochezwa leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar.

Bao la Simba limefungwa na Mshambuliaji wake Meddie Kagere dakika ya 64.


Post a Comment

0 Comments