LIGI kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa timu hizi:
Mwadui FC itamenyana na Mtibwa Sugar Uwanja wa Mwadui Compex, Shinyanga
African Lyon wataikaribisha Ruvu Shooting, Uwanja wa Uhuru.
Mbao FC itamenyana na Coastal Union ya Tanga, Uwanja wa Kirumba.
Tanzania Prisons watamenyana na Stand United Uwanja wa Sokoine.
Ndanda FC watamenyana na Kagera SugarUwanja wa Nangwanda Sijaona.

0 Comments