Windows

MSANII WCB AMFICHA MPENZI WAKE


MKALI wa muziki kutoka kundi la Wasafi, Abdul ‘Lavalava’ ametoa ya moyoni baada ya watu kumuandama kwa muda mrefu kwanini hamuoneshi mtu ambaye yupo nae katika mahusiano kama ambavyo wasanii wenzake hufanya.

Lavalava amejibu kwamba haoni ulazima wa yeye kumuonesha mchumba wake kwasababu sio malengo yake na itaharibu kabisa mfumo wa muziki wake kwasababu watu watavumisha sana.

“Nadhani sio lazima sana watu kujua uhusiano wangu kwasababu hayo ni mambo yangu binafsi jamani y a a n i k a m a n i n gekuwa sijatoa ngoma kwa muda mrefu basi ingekuwa ni haki y a o kuhoji lakini u h u s i a n o wangu hauwah u s u kwasab a b u malengo yangu ni kufanya muziki wangu ujulikane zaidi kuliko mahusiano yangu,” alisema Lavalava.

Post a Comment

0 Comments