Windows

HII HAPA RATIBA YA LEO, YANGA, STAND UNITED KAZINI LEO



VUMBI la ligi kuu Bara mzunguko wa 28 unaendelea leo ambapo timu nane zitashuka kwenye viwanja vinne tofauti kutafuta pointi tatu kama ifuatavyo:-

KMC watamenyana na Mtibwa Sugar Uwanja wa Uhuru, saa 10:00 jioni.

Mbao FC wataikaribisha Yanga Uwanja wa CCM Kambarage saa 10:00 jioni.

Mbeya City dhidi ya Tanzania Prisons, uwanja wa Sokoine saa 10:00 jioni.

Stand United watamenyana na Lipuli FC  uwanja wa Kambaragesaa 10:00 jioni.

Post a Comment

0 Comments